Sakaja ajiondolea lawama kuhusiana na madeni ya NMS

  • | KBC Video
    226 views

    Maseneta wamewashutumu mawaziri kwa kusimamia vibaya majukumu ya serikali ya Kenya Kwanza. Katika siku yao ya pili ya mjadala kuhusu hali ya taifa, maseneta walisema hatua hiyo mara nyingi imemwacha rais kushughulikia masuala ambayo yalipaswa kushughulikiwa na mawaziri.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive