Serikali kuzindua hifadhi ya wanyamapori Kamatargui, Nandi

  • | Citizen TV
    925 views

    Serikali ya kitaifa ikishirikiana na serikali ya kaunti ya Nandi imeanzisha mchakato wa kurejesha chemichemi ya Kamatargui kisha kuifanya kuwa hifadhi ya wanyama hasa walio kwenye hatari ya kutokomea . chemichemi hiyo inatarajiwa kurejeshwa katika hadhi yake ya zamani kwa upanzi wa miti kabla ya wanyama kuletwa ndani ya hifadhi hiyo.