Taasisi za elimu zimetakiwa kutumia teknolojia ya kisasa kuendesha shuguli za masomo nchini.

  • | NTV Video
    30 views

    Washikadau Katika Sekta Ya Elimu Wanasema Kwamba, Teknolojia Ndio Mbinu Ya Pekee Itakayotatua Matatizo Ya Kijamii Huku Huku Ikitoa Nafasi Ya Ajira Kwa Wanafunzi. Haya Yalizungumzwa Katika Hafla Iliyoandaliwa Kuonyesha Weledi Wa Wanafunzi Kwenye Masomo Mbalimbali Shuleni Brookhurst Hapa Jijini Nairobi.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya