Skip to main content
Skip to main content

Kakamega: Wanawake amabo hawakufanikiwa kupata mtoto/watoto kwenye ndoa wanataka serikali iwatambue

  • | NTV Video
    1,810 views
    Duration: 3:36
    Kundi moja la wanawake wakiwemo maajuza pamoja na wazee ambao wameoa ila hawakufanikiwa kupata mtoto/watoto kwenye ndoa zao limeitaka serikali kuhakikisha kuwa linawatambua na kuwaweka miongoni mwa watu wanaoishi na changamoto za ulemavu nchini Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya