Viongozi wa Azimio waendelea kuunga mkono msukumo unaoendelezwa na vijana nchini

  • | Citizen TV
    6,108 views

    Viongozi wa Azimio wameendelea kuunga mkono msukumo unaoendelezwa na vijana nchini, huku wakipongeza hatua ya chama cha wanasheria nchini kudinda kuitikia uteuzi wa Rais William Ruto. Viongozi hawa wakiongozwa na kalonzo musyoka na Eugene Wamalwa wakisimama kuwa ofisi ya mkaguzi wa hesabu za serikali ina uwezo wa kutathmini madeni ya serikali, wakimpongeza rais wa LSK Faith Odhiambo kwa kutaa uteuzi kwenye jopo hilo. Willy Lusige na taarifa zaidi