Maelfu ya wakenya walifurika katika bustani ya Uhuru Park kuadhimisha siku ya saba saba

  • | TV 47
    240 views

    Siku ya Saba Saba imeadhimishwa kwa njia tofauti leo. Maelfu ya wakenya walifurika katika bustani ya Uhuru Park, wakiwa na madhumuni ya kuwapa heshima vijana waliouliwa kwenye maandamano ambayo yamekuwa yakiendelea ya kizazi cha Gen Z.

    #TV47Wikendi

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __