Makanisa nchini yafanya ibada maalum kuwakumbuka waliouawa na polisi katika maandamano

  • | Citizen TV
    2,307 views

    Viongozi wa makanisa sasa wanamtaka rais william ruto kuvunjilia mbali baraza lake la mawaziri na kuteua baraza jipya. Viongozi hao pia wamemtaja inspekta jenerali wa polisi japeth koome kama baadhi ya wale wanaohitaji kupigwa kalamu kutokana na mauwaji na kukamatwa kwa waandamaji nchini. Haya yamesemwa wakati wa ibada maalum ya kuwakumbuka waliouwawa kwenye maandamano ya kupinga serikali yaliyoshuhudiwa nchini, Kama Brenda Wanga anavyarifu