Mkaguzi wa hesabu aibua maswali kuhusu pesa za Hustler fund

  • | Citizen TV
    3,276 views

    Mkaguzi wa hesabu za serikali Nancy Gathungu sasa ameibua maswali mengi kuhusu hazina ya hasla iliyozinduliwa na serikali zaidi ya mwaka mmoja unusu uliopita. Katika ripoti yake Gathungu anasema zaidi ya shilingi bilioni 32 zilitolewa kama mikopo kufikia Juni mwaka jana, ila zaidi ya shilingi bilioni 10.9 zilizotolewa hazikuwa zimelipwa.