Waathiriwa waliobomolewa wanazidi kuhangaika

  • | Citizen TV
    1,513 views

    Miezi miwili baada ya ubomoaji wa majumba yaliyojengwa kandokando mwa mito Nairobi, inaibuka kuwa waathiriwa wengi bado hawajapokea fidia iliyolenga kuwagharamia kutafuta makao kwengineko