Vijana wakataa wito wa mazungumzo ya kitaifa

  • | Citizen TV
    7,737 views

    Nao baadhi ya vijana nchini wamesema katu hawatakubali mazungumzo yoyote na serikali kuhusu mustakabali wa taifa. Vijana hawa badala yake wakidai haki kwa wenzao waliouawa, na kutaka tu uwajibikaji kutoka kwa serikali. Haya yakijiri huku mmoja wa kijana aliyepigwa risasi wakati wa maandamano nje ya majengo ya bunge akizikwa eneo la Gatundu kaunti ya Kiambu