Mkutano wa wadau wa sekta mbalimbali na vijana kuanza Jumatatu

  • | KBC Video
    32 views

    Kamati ya wanachama 150 inayotarajiwa kupekua masuala yaliyozinduliwa na vijana wa kizazi cha Z itaanza vikao vyake Jumatatu ijayo. Kamati hiyo inajumuisha vijana 50 ilhali wanachama wengine watawakilisha sekta mbalimbali. Rais William Ruto amesema vikao vya jopo hilo vitachukua muda wa siku sita.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive