Waathiriwa wa mkasa wa moto Kibera wapokea msaada

  • | KBC Video
    33 views

    Serikali itawasaidia waathiriwa wa janga la moto lililotokea mtaani Kibera, kaunti ya Nairobi, kuanza upya maisha yao. Katibu katika idara ya maendeleo ya kimaeneo Harsama Kello amesema kwa sasa serikali inawasaidia waliopoteza mali zao kwa mahitaji ya msingi huku ikitafuta suluhu ya jinsi waathiriwa hao wanaweza kuendelea na maisha yao ya kawaida. Kello alikuwa akizungumza baada ya kukutana na waathiriwa hao ambapo alitoa msaada wa bidhaa mbalimbali.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive