Mtu mmoja afariki kwenye ajali ya treni ya abiria Kajiado

  • | KBC Video
    72 views

    Mtu mmoja amefariki na 46 wengine kujeruhiwa baada ya treni ya abiria kuhusika kwenye ajali katika kijiji cha Kenya Marble Quarry kinachojulikana kama KMQ huko Kajiado Magharibi. Kulingana na walioshuhudia tukio hilo, treni hiyo iliacha reli mida ya saa tisa alfajiri kwenye ajali inayokisiwa kusababishwa na uharibifiu wa muundo mbinu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive