Kujitokeza kwa Raila kwaibua hisia mseto kwa umma

  • | K24 Video
    74 views

    Kizazi cha gen z sasa kinataka kikosi cha tume ya IEBC kiwe na uwakala wa kamishna kijana pindi uteuzi utakapofanywa. hii ni baada ya rais William Ruto kuidhinisha kuwa sheria, mswada wa marekebisho ya sheria ya IEBC baada ya kuutia saini. Ingawa ni hatua iliyopigiwa debe na Gen Z walioapa kuandamana endapo serikali haingetimiza shughuli hiyo, vijana wametilia shaka mchakato huo na kuirai serikali ihakikishe kunakuwa na uwazi. Kusukwa upya kwa IEBC kutawapa fursa vijana ya kuwaondoa wabunge ambao hawajawaridhisha katika utendakazi wao.