Idadi ya watu waliofariki kwenye mgodi ulioporomoka jana Migori yafika watu watano

  • | Citizen TV
    289 views

    Idadi ya watu waliofariki kwenye mgodi ulioporomoka jana eneo la kanga kaunti ya Migori imefikia watu watano.