Baraza lazindua mpango wa kufanikisha malengo makuu

  • | KBC Video
    4 views

    Baraza la kitaifa la mashujaa limezindua mpango wa kimakakati wa miaka mitano utakaoliongoza katika kutekeleza malengo makuu miongoni mwayo,kutambua mashujaa kote nchini na jinsi ya kuwatuza. Waziri wa jinsia na utamaduni Aisha Jumwa ambaye aliongoza uzinduzi huo alisema serikali inadhamiria kuwatambua mashujaa wake na wale ambao wamechangia pakubwa katika ustawi wa taifa hili.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive