Biashara I serikali kuweka sera mwafaka za kuimarisha ukusanyaji ushuru

  • | KBC Video
    12 views

    Waziri wa fedha Profesa Njuguna Ndung'u, amesema serikali itaweka sera mwafaka za kuimarisha ukusanyaji ushuru,kudhibiti nakisi ya fedha inayoendelea kuongezeka. Hii ni baada ya kubainika kwamba, Kenya inashikilia nafasi ya pili kwa nakisi ya fedha katika mataifa yanachama ya shirika la - IGAD , kulingana na ripoti ya mwaka 2022.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive