Mafuriko yasomba mtoto wa miaka kumi Kayole

  • | Citizen TV
    430 views

    Mwanafunzi mmoja wa darasa la tano kutoka maeneo ya Kayole amepotea baada ya kusombwa na maji alipokuwa akitoka shuleni.