Seif Salim Kassim Kisauji, 57 almaarufu 'Babu wa TikTok' @babloom_kisauji amekuwa akijipatia umaarufu katika mitandao ya kijamii hususani TikTok huku video zake zikiangaliwa na mamilioni ya watu.
Regina Mziwanda @rmziwanda_official alifanya mazungumzo na 'Babu wa TikTok' na kuelezea masuala mbalimbali ya muziki wake na umaarufu mitandaoni.
Pia unaweza kutazama mahojiano haya yote kwa urefu katika ukurasa wa YouTube wa BBCSwahili
#bbcswahili #nyotawaafrikamashariki #tanzania
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw
15 May 2025
- Testing and monitoring of HIV patients across South Africa have fallen since the United States cut aid that funded health workers and clinics, with pregnant women, infants and youth the most affected, previously unpublished government data shows.
15 May 2025
- The worst fighting in Libya's capital for years calmed on Wednesday an hour after the government announced a ceasefire, Tripoli residents said, with no immediate statement from authorities on how many people had been killed.