Kuvunjwa kwa baraza la mawaziri kunafuatia maandamano ya vijana

  • | KBC Video
    32 views

    Kuvunjwa kwa baraza la mawaziri kufuatia malalamiko ya umma wakati wa maandamano ya kupinga mswada wa fedha kumeashiria mazingira ya kuundwa upya kwa baraza la mawaziri. Mawaziri wameachishwa kazi baada ya kuhudumu kwa chini ya miaka miwili. Tunaangazia mawaziri walioachishwa kazi kutokana na shinikizo la umma.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive