- 1,254 viewsDuration: 1:46Siku moja baada ya makabiliano makali kuzuka baina jamii zinazoishi katika Mji wa Isinya Kaunti ya Kajiado, Viongozi wa Jamii mbali mbali zinazoishi Kajiado Mashariki wametoa wito kwa wakazi wa Isinya Kusitisha uhasama na kuishi kwa Amani.