- 1,009 viewsDuration: 4:38Kamati ya elimu katika bunge la seneti imefichua utepetevu wa hali ya juu katika sekta ya elimu kaunti ya busia baada ya kuzuru shule tofauti za chekechea na vituo vya mafunzo anuai katika kaunti hiyo. Kamati hiyo ikiongozwa na seneta wa kuteuliwa betty montet imebaini uozo wa hali ya juu licha ya fedha kutengewa sekta hiyo...