10 Oct 2025 1:11 pm | Citizen TV 141 views Duration: 1:24 Wapiga Kura wapya 418 kati ya walengwa zaidi ya 13,700 ndio waliosajiliwa katika kaunti ya Nyeri kufikia jumatano, Kwenye zoezi ambalo limeshuhudia idadi ndogo sana ya vijana, wanaojitokeza kujisajili kama wapiga kura.