10 Oct 2025 1:38 pm | Citizen TV 140 views Duration: 1:53 Wadau kutoka sekta ya afya kwa ushirikiano na mashirika ya jamii wameandaa vikao mbalimbali kule Kisii kama njia mojawapo ya mipango ya kuhamasisha umma kuhusu afya ya akili.