- 241 viewsDuration: 2:38Serikali ya kaunti ya Tharaka Nithi imeendeleza mpango wa kutoa mbengu kwa wakazi katika msimu wa mvua, ikiwa njia moja ya kuhakikisha uwepo wa vyakula na kupambana na njaa. Mpangilio huo wa kutoa mbegu uko katika muhula wa 11.