Skip to main content
Skip to main content

Serikali ya kaunti yabomoa nyumba zilizojengwa kwenye mifereji Kirinyaga

  • | Citizen TV
    838 views
    Duration: 1:30
    Serikali ya kaunti ya kirinyaga imeanzisha operesheni kubwa ya kuondoa nyumba na maghorofa haramu yote isiyo halali iliyojengwa juu ya mifereji ya maji, katika juhudi za kuzuia mafuriko yanayotarajiwa kufuatia mvua za msimu wa oktoba.