10 Oct 2025 2:24 pm | Citizen TV 402 views Duration: 2:05 Walimu chini ya muungano wao wa KUPPET tawi la Tana River, wamepinga vikali agizo la Waziri wa elimu Julius Migos ya kuwa shule za sekondari msingi zitasalia chini ya uongozi wa walimu wakuu wa sasa.