Skip to main content
Skip to main content

Wataalamu watafuta mbinu za kuwalinda ndege aina ya korongo

  • | Citizen TV
    1,327 views
    Duration: 3:35
    Huku taifa likiadhimisha siku ya mazingira hii leo kundi la wataalamu wa uhifadhi wa mazingira pamoja na wapenzi wa ndege kutoka mataifa mbalimbali duniani limefanya ziara kkatika maeneo oevu kaunti ya nandi ili kutafuta mbinu bora za kupunguza migogoro kati ya binadamu na wanyamapori hususan ndege aina ya Korongo katika maeneo ya mabwawa na hifadhi za asili ambako ndege hao hupatikana.