10 Oct 2025 2:21 pm | Citizen TV 595 views Duration: 1:46 Wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Kerangi katika Wadi ya Kiambere, Mbeere Kusini, Embu, wanakabiliwa na hali ngumu ya masomo kutokana na ukosefu wa madarasa salama na ya kudumu.