Kinara wa chama cha Green Thinking Action (GTAP) daktari Isaac Kalua amewataka viongozi mbali mbali ambao wako katika nyadhfa zinazowaguza wakenya moja kwa moja kutoweka tamaa ya uongozi na ufisadi kutowaongoza, huku akitaka wote, wakiwemo wanasiasa kuwa na utu.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya