Mvutano waibuka kuhusu chakula cha msaada Gachie, Kiambu

  • | Citizen TV
    1,896 views

    Wakaazi wa vijiji vya kihara na Gachie kaunti ya Kiambu walizamia kituo cha polisi kwa mara ya pili kudai chakula cha msaada. Chakula hicho kinadaiwa kuhifadhiwa ndani ya kituo hicho kwa miezi mitatu sasa na kilipaswa kupewa waathiriwa wa mafuriko ila wanadai ngoja ngoja ya ni lini kitagawanywa ndio imekuwa sokomoko.