Rigathi: Mawaziri waliojifanya wajuaji wako wapi?

  • | NTV Video
    9,824 views

    Naibu Rais Rigathi Gachagua amevunja ukimya baada ya Rais William Ruto kuvunja baraza lake lote la Mawaziri mnamo Alhamisi na kusema kwamba anaunga mkono uamuzi huo.

    Kulingana Gachagua, Ruto anafaa kutafuta Mawaziri wasio na kiburi na wale ambao hawatajihusisha na siasa.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya