- 7,364 viewsDuration: 2:25Huzuni na simanzi ilitanda katika kijiji cha Ndalu, kaunti ya Bungoma, wakati wa mazishi ya wanandoa mhandisi Joseph Omido na mkewe Margaret, afisa wa Benki Kuu ya Kenya (CBK), ambao maisha yao yalikatizwa ghafla katika ajali mbaya ya barabarani iliyowaua wawili hao. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya