Watu sita wanauguza majeraha Mutoho, Murang'a baada ya kuvamiwa na genge la wahalifu

  • | Citizen TV
    1,987 views

    Watu sita katika kijiji cha Mutoho kwenye mpaka wamaragua na kandara wanauguza majeraha baada ya kuvamiwa na genge la wahalifu wakielekea nyumbani