Vijana wapanga kufanya maandamano kesho

  • | K24 Video
    332 views

    Vijana wa Gen Z wametishia kuendelea na maandamano kuishinikiza serikali kutekeleza makubaliano yao na Rais William Ruto, pia wanatarajiwa kuandamana hadi katika baadhi ya afisi za kaunti mbalimbali nchini kulalamikia ufisadi na kutowajibika kwa serikali hizo za magatuzi.. Haya yanajiri huku wafanyibiashara wakiapa kufungua maduka yao wakati wa maandamano wakisema kuwa wamejipanga kulinda biashara zao