10 Oct 2025 7:28 pm | Citizen TV 1,723 views Duration: 1:37 Rais William Ruto amezindua mpango wa kukuza miche bilioni mbili kila mwaka kupitia vituo 17 vya kitaifa, ili kufanikisha lengo la kupanda miti bilioni 15 kufikia mwaka 2032.