- 140 viewsMaelfu ya Wairan wameadhimisha siku ya Ashura Jumanne (Julai 16), sikukuu ya kidini ya kumuenzi Imam Hussein aliyekufa shahidi, ambaye ni mjukuu wa Mtume Muhammad. Ashura, ni maadhimisho ya kila mwaka ambapo watu huonyesha michezo yenye kuvutia na kuigiza Vita vya Kerbala ambavyo Imam Hussein alifariki, inafanyika katika siku ya kumi ya mwezi wa Muharram, mwezi wa kwanza wa kalenda ya Kiislam. Waislam wa madhehebu ya Shia waliandamana mitaani wakifanya maigizo, kuchoma hema ikiwa ni ishara ya kuigiza shida alizozipata Imam Hussein, na kupaza sauti wakiomba. “Kulingana na mazingira ya Wapalestina na Gaza, na matukio yanayofanyika hivi sasa, kuwatetea watu wasiokuwa na hatia ni ujumbe muhimu zaidi unaotakiwa kupelekwa kote,” alisema moja wa waumini Bi Mortazavi. Vita hiyo viligawanya madhehebu ya Shia na Sunni. -Reuters #wairan #iran #kerbala #maadhimisho #muharam #ashura #imamhussein #voa #voaswahili
Ashura: Igizo la vita vya Kerbala na kifo cha Imam Hussein
- - Duniani Leo ››
- 11 Aug 2025 - Why Nairobi Hospital is in battle for survival
- 11 Aug 2025 - 28 years in bed: Naomi's relentless fight for dignity
- 11 Aug 2025 - Devolution system's good, bad and ugly 12 years later
- 11 Aug 2025 - Like Jomo Kenyatta and Kwame Nkrumah, 'saviour' Ruto has disappointed
- 11 Aug 2025 - Gachagua, Ruto and Uhuru face crucial Mt Kenya by-election test
- 11 Aug 2025 - Wild cheers, wild bites: Football meets game meat in Dar es Salaam
- 11 Aug 2025 - Nearly three years into President William Ruto's administration, many of his promises appear to be caught in a loop of disruption, chaos, and last-minute damage control.
- 11 Aug 2025 - Elevated prolactin during pregnancy can reduce intimacy.
- 11 Aug 2025 - Bomet's new cardiac centre set to transform heart care across Africa
- 11 Aug 2025 - State moots plan to secure 20pc stake in high-risk industries