Mbappe ajiunga na Real Madrid
Kylian Mbappe hatimaye amevaa jezi ya timu ya Real Madrid kutimiza ndoto yake ya utotoni katika uwanja uliofurika wa Santiago Bernabeu.
Takriban mashabiki 80,000 walijitokeza katika uwanja wa Bernabeu kumkaribisha nyota wa Ufaransa wakati wa kujitambulisha rasmi kama mchezaji mpya kabisa wa klabu hiyo.
Alisaini rasmi mkataba wake wa miaka mitano na timu hiyo maarufu ya Uhispania akiwa na rais wa klabu hiyo Florentino Perez na baadaye akajitokeza katika jukwaa kuwasalimia mashabiki wa Madrid. - AP
#football #mbappe #realmadrid #voa
10 Aug 2025
- Kenyans have been urged to report hospitals charging for certain SHA services.
10 Aug 2025
- The chief officer for environment will seek reinforcement from thousands of workers.
10 Aug 2025
- Nearly 50 passengers have lost their lives in a fortnight.
11 Aug 2025
- Why Nairobi Hospital is in battle for survival
11 Aug 2025
- 28 years in bed: Naomi's relentless fight for dignity
11 Aug 2025
- Devolution system's good, bad and ugly 12 years later
11 Aug 2025
- Like Jomo Kenyatta and Kwame Nkrumah, 'saviour' Ruto has disappointed
11 Aug 2025
- Gachagua, Ruto and Uhuru face crucial Mt Kenya by-election test
11 Aug 2025
- Wild cheers, wild bites: Football meets game meat in Dar es Salaam
11 Aug 2025
- Nearly three years into President William Ruto's administration, many of his promises appear to be caught in a loop of disruption, chaos, and last-minute damage control.
11 Aug 2025
- Elevated prolactin during pregnancy can reduce intimacy.
11 Aug 2025
- State moots plan to secure 20pc stake in high-risk industries
11 Aug 2025
- Will Laiser Hill restore their lost glory and end 12 years of trophy drought?