10 Oct 2025 7:36 pm | Citizen TV 4,096 views Duration: 1:04 Washukiwa wanne wanaohusishwa na mtandao wa kimataifa wa usafirishaji wa dawa za kulevya kupitia Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta (JKIA) wamefikishwa mahakamani.