Watu 2 wafariki Kibwezi baada ya kupigwa risasi na polisi wakati wa maandamano ya Gen Z hapo jana

  • | KBC Video
    36 views

    Watu wawili waliripotiwa kufariki na zaidi ya wengine watano wanapokea matibabu katika hospitali ya AMREF Kibwezi baada ya kupigwa risasi na polisi wakati wa maandamano ya Gen Z hapo jana katika mji wa Kibwezi kaunti ya Makueni.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive