Jaji Ogembo apoteza maisha yake kwa njia tatanishi

  • | TV 47
    691 views

    Jaji anayeongoza mahakama ya Siaya Daniel Ogola Ogembo amefariki. Ogembo anasemekana kupatikana amefariki nyumbani kwake huko Siaya asubuhi ya leo. Yamkini maafisa wa polisi wamedokeza kuwa dereva aliwafahamisha kuwa alikuwa amelalamika kuwa hajisikii vizuri siku ya jumanne kabla ya kwenda kulala.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __