- 215 viewsMohamed Mataan ni mkimbizi aliyefanikiwa kuondokana na changamoto alizokutana nazo alipokua anaishi katika kambi ya wakimbizi ya Dadaab, amekua Mjasiriamali wa kujitolea. Mataani alikulia katika kambi hiyo baada ya kukimbia vita huko Somalia na wazazi wake, na hivi sasa anawasaidia wakimbizi wenzake kujifunza program za kuendesha komputa akiwa na matumiani ya kuboresha maisha yao. VOA Swahili inarusha matangazo ya Duniani Leo kupitia Tovuti yetu na jukwaa la Facebook Jumatatu hadi Ijumaa tukikuletea habari mbalimbali za siasa na uchambuzi kwa lugha ya Kiswahili. Tembelea tovuti yetu voaswahili.com/duniani-leo na Makala Maalum ya Jarida la Wikiendi. Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu. Matangazo yetu yanasambazwa kupitia satellite, cable, FM na MW, na and kupitia mtandao wa vituo vya matangazo vya washirika wetu takriban 3000. Tangu kuanzishwa mwaka 1942, Sauti ya Amerika imeendelea na azma yake ya kutoa habari za kina na kuwaambia wasikilizaji wake ukweli. Tangu kipindi cha Vita Vya Pili vya Dunia, Vita Baridi, Vita dhidi ya ugaidi wa kimataifa, na juhudi za ukombozi duniani kote hivi leo VOA imekuwa mfano katika kutekeleza kanuni za vyombo vya habari huru. Jiunge na VOA Swahili: » Tembelea Tovuti Yetu: https://bit.ly/3PtyNWc »Angalia Video Zaidi za VOASwahili: https://bit.ly/3TNTiiI »Pakua VOA+ katika vifaa vya Apple : https://bit.ly/VOAPlus »Download VOA+ katika vifaa vya Android https://bit.ly/3KykriI »Tembelea Tovuti yetu: https://www.voaswahili.com/ »Upende ukurasa wetu wa Facebook: https://www.facebook.com/voaswahili »Tufuatilie katika Instagram: https://www.instagram.com/voaswahili »Tufuatilie katika X: https://twitter.com/voaswahili »Tufuatilie katika YouTube: https://www.youtube.com/@VOASwahili
Wakimbizi wafundishwa programu za Komputa Kenya | VOA Swahili
- - Citizen Sunday live ››
- 21 Jul 2025 - Adelight Khayanje, a resident of Sango in Tongaren constituency, Bungoma County, had relied on the coil as a long-term contraceptive method, believing it would offer her full control over her reproductive health. For 12 uninterrupted years, Khayanje, a…
- 21 Jul 2025 - Senators have expressed alarm over what they described as repeated institutional failures by the Ministry of Education and the Teachers Service Commission (TSC) in enforcing safeguards to protect learners from teachers with predatory tendencies. This…
- 21 Jul 2025 - As news of the untimely passing of comedian and content creator KK Mwenyewe spread across the country, Kenyans from all walks of life were united in grief. But no one felt the pain more deeply than his mother, who now faces the unimaginable reality of…
- 21 Jul 2025 - Political activist Morara Kebaso has expressed concern over what he describes as a troubling decline in values and
- 21 Jul 2025 - In its heyday, Elburgon town in Nakuru County was a bustling hub of economic activity, where the rhythmic clatter of trains and the deep growl of sawmill machinery painted the picture of a community on the rise. Farmers once relied on donkeys to…
- 21 Jul 2025 - Former Prime Minister Raila Odinga has revealed what the national conclave he has proposed would look like if
- 21 Jul 2025 - Mumias East MP Peter Salasya has lashed out at former Deputy President Rigathi Gachagua over controversial remarks he
- 21 Jul 2025 - Former Prime Minister Raila Odinga has stated that he never runs out of dialogue ideas, noting that it was the surest way to wiggle out of a crisis. Speaking during an interview at his Karen residence in Nairobi on Sunday, July 20, 2025, Raila indicated…
- 21 Jul 2025 - When former Chief Justice David Maraga recently announced that ordinary Kenyans would bankroll his presidential campaign, seasoned political figures who have run high-stakes campaigns likely dismissed the idea as idealistic naivety. During a TV…
- 21 Jul 2025 - Westlands MP Tim Wanyonyi, who is vying for the Bungoma gubernatorial seat, has affirmed that his campaign and future leadership style will embrace participatory and people-centred politics. Speaking during a series of consultative meetings with…