Watoto wawili kutoka kijiji cha Kabartegan eneo bunge la Bureti wauawa na watu wasiojulikana

  • | Citizen TV
    568 views

    Familia mmoja kutoka kijiji cha kabartegan eneobunge la bureti Kaunti ya Kericho wanaomboleza vifo vya wana wao wawilli baada ya miili yao kupatikana.