Madaktari wanafunzi watarajiwa kuanza kupokea barua zao za kazi leo asubuhi

  • | Citizen TV
    493 views

    Madaktari wanafunzi wanatarajiwa kuanza kupokea barua zao za kazi leo asubuhi. hii ni baada ya chama cha madaktari KMPDU na serikali kuafikiana na kutamatisha Mgomo uliokuwepo. madaktari hao wanafunzi wataanza kuripoti kazini tarehe moja mwezi Agosti. KMPDU imemulaumu aliyekuwa waziri wa Afya Susan Nakhumicha kwa kutoonyesha ari ya kusuluhusha maswala yao.