Kikosi cha Kenya katika nchi ya Haiti chafanikiwa kuteka bandari ya iliyotekwa nyara na magenge

  • | Citizen TV
    13,740 views

    Kikosi Cha Kenya Katika Nchi Ya Haiti Kimefanikiwa Kuteka Bandari Kubwa Na Muhimu Zaidi Ya Haiti Baada Ya Makabiliano Makali Na Magenge Ya Haiti Iliyokuwa Imeteka Nyara Bandari Hiyo.