Sekta ya utalii yakadiria hasara kutokana na maandamano dhidi ya serikali Mombasa

  • | Citizen TV
    555 views

    Wadau Katika Sekta Ya Utalii Wamesalia Kukadiria Hasara Kutokana Na Maandamano Yanayoshuhudiwa Nchini. Baadhi Ya Watalii Wa Humu Nchini Na Wakimataifa Wamelazimika Kukatiza Safari Zao. Wadau Hao Sasa Wamebuni Mbinu Za Kutumia Tamasha Za Kitamaduni Ili Kuwavutia Watalii.