Vijana katika kaunti ya Trans Nzoia wapinga mapendekezo ya kufutiliwa mbali hazina ya CDF

  • | Citizen TV
    430 views

    Vijana katika kaunti ya Trans Nzoia wanasisitiza umuhimu wa hazina ya ustawi wa maeneo bunge na kupinga mapendekezo ya hazina hiyo kufutiliwa mbali na fedha hizo kurejeshwa katika serikali za kaunti. pendekezo hilo limetokana na ripoti kuhusu iutumizi mbaya wa hazina hiyo na hali ya kuwa serikali za kaunti zinatekeleza majukumu sawa na yale yanayofadhiliwa na fedha za hazina ya NG -CDF.