Wahudumu wa afya wapata mafunzo kuhusu jinsi ya kuwashughulikia wanawake wajawazito Baringo

  • | Citizen TV
    253 views

    Ili kupunguza vifo vya watoto na Kina mama wakati wa kujifungua ,Serikali ya kaunti ya Baringo inaendesha zoezi la kuwapa mafunzo maalum wahudumu wa afya kuhusu jinsi ya kuwashughulikia wanawake wajawazito wakati wanapojifungua, na pia watoto wachanga.