NEMA yaandaa maonyesha ya kawi safi, Kajiado

  • | Citizen TV
    293 views

    Mamlaka ya Kusimamia Mazingira NEMA Katika kaunti ya Kajiado imeanda Maonyesho ya siku mbili katika Mji wa Kajiado ambayo yalilenga kuwashawishi wakazi wa kaunti hiyo kukumbatia mbinu za kizaza kupika ili kuepuka ukataji wa miti kiholela kutafuta kuni na makaa.