Rogers Ochieng ndiye mshindi wa Droo ya Shikisha Milli Na Euros ambapo amejipatia shilingi milioni

  • | Citizen TV
    338 views

    Rogers Ochieng ndiye mshindi wa Droo ya Shikisha Milli Na Euros ambapo amejipatia shilingi milioni moja. Ushindi huo unaashiria mwisho wa kampeni hiyo ambapo zawadi zingine zilizoshindaniwa zilikuwa pamoja na shilingi elfu hamsini kila siku na shilingi elfu 250 kila wiki.